Hassan Mwakinyo hapigiki, amtwanga TKO ‘Bondia wa Dar’ ndani ya sekunde 10

Hassan Mwakinyo hapigiki, amtwanga TKO ‘Bondia wa Dar’ ndani ya sekunde 10
Bondia anayekuja kwa kasi nchini Tanzania, Hassan Mwakinyo kutoka Tanga ameandika historia nyingine nchini baada ya kumtwanga bondia mkongwe, Said Azidu kutoka Dar es Salaam kwa Technical knockout (TKO) kwa sekunde 10 kunako raundi ya kwanza.



Pambano hilo lililochezwa jana Jumamosi usiku wilayani Muheza mkoani Tanga, lilihudhuriwa na mamia ya mashabiki wa masumbwi mkoani humo.

Hii inakuwa ni rekodi ya kwanza kwa Tanzania, mtu kupigwa TKO ndani ya sekunde 10 ya raundi ya kwanza, tazama video ya tukio hilo.




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad