Interview ya Mbwana Samatta Baada Kuifunga Besiktas

Samatta katika game ya tatu ya Europa October 25 2018 ameisadia timu yake ya KRC Genk kupata ushindi wa magoli 4-2, Mbwana Samatta akihusika katika upatikanaji wa magoli matatu kati ya hayo akifunga magoli mawili dakika ya 23 na 70 na kutoa pasi ya goli.

“Inawezekana ilionekana game rahisi kwetu au tulikuwa bora uwanjani lakini tunatakiwa kuwaheshimu Besiktas wana timu nzuri sana na kuna wachezaji wana vipaji” Samatta

“Wana wachezaji wenye majina makubwa wote tunafahamu hivyo nafikiri ilikuwa ni siku yetu tulipambania hii na hatimae tukawashinda” Samatta

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad