Irene Uwoya Angekua Mke Wangu Angetulia Kabisa

Baada ya kususua kwa ndoa ya Dogo janja na Mke wake Irene Uwoya msanii wa Lingala Kitokololo amesema kama yeye angekua Mume wa Irene uwoya basi angehakikisha anamtuliza kabisa. Kitokololo amezungumza hayo kwenye interview aliofanya na Felix Red akiongeza kwaba ndoa hio inatetereka kutona na dogo janja kutokua na Experience ama uzoefu katika maisha ya ndoa.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad