Mchekeshaji maarufu nchini bwana Lucas Mhuvile alimaarufu Joti amefunguka na kuelezea sababu ya kipindi cha vichekesho ambacho walikuwa wanakifanya kila siku ya jumapili wakiungana wasanii sita kukaa kimya. Mchekeshaji huyo amefunguka wakati anapiga stori na Bongo five siku ya uzinduzi wa vichekesho ambavyo vimerejea kwa sasa ikiwa ni msimu wa pili vinavyojulikana kwa jina la Mwantumu.
Joti amefnguka baada ya kuulizwa kwamba kwanini vichekesho hivyo ambavyo walikuwa wakivifanya kila siku ya jumapili wakiungana wasanii sita ambao ni Joti,Msanaja,Mpoki,Vengu,Wakuvanga na Makregani,ambao kwa sasa kila mmoja anafanya kazi yeye kama yeye.
Joti Afunguka na Kutaja Muda wa kurejea Tena Comedy Show Baada ya Kupotea Kwa Muda
0
October 17, 2018
Tags