Joti Atoboa Siri ya Ndoa Yake

Joti Atoboa Siri ya Ndoa Yake
Msanii wa maigizo Bongo, Joti amesema kabla ya kuoa mkewe  alikuwa akimshauri hivyo lakini alikawia kuchukua hatua hivyo.

Mchekeshaji huyo aliyejizolea umaarufu mkubwa ndani ya kundi la Orijino Comedy, akizungumza kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM amesema aliamua kuoa bila kushawishiwa na mtu yeyote.

 "Wakati wa nipo kwenye mahusiano na mke wangu alikuwa ananikumbusha sana kumuoa, kila akiniambia nilikuwa namwambia tulia, ila alipoacha kunikumbushia suala hilo ndipo nikamuoa bila kunilazimisha," amesema.

Joti alifunga ndoa October 28 mwaka huu na  sherehe ya harusi yake ilifanyika Mlimani City Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad