Kama Tukio la Mo Dewji Kukamatwa Halitapatiwa Majibu Linaweza Ogopesha Wawekezaji


Kama tukio la Mohammed Dewji halitapatiwa majibu, kuna uwezekano wa wafanyabiashara wengine wakubwa kuogopa na kukimbia nchini wakihamisha mitaji ya biashara zao, matokeo yake tunaweza kudidimiza uchumi wetu kama ilivyokuwa kwa Zimbabwe | Ameyasema hayo Mbunge Lema katika Press Conference na waandishi wa Habari.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hilo haliusiani na uwekezaji, labda kama kuna agenda za watu wengine wanateka watu na wafanyabiashara hili ionekane wanatekwa na serikali kwa nia ya kuikomoa serikali si sawa, naona Mhe Lema ufike polisikueleza hili unaonekana una mwanga mzuri wa hili. Ni kweli kama kuna kikundi kinafanya haya hili kuwogopesha wawekezaji lazima serikali ifanye kazi ya ziada kiupelelezi wanataka kuidhoofisha nchi kiuchumi, serikali haina hajaya kumteka mfanya biashara yeyote, hawa ni wapinga maendeleo ndiyo wanafanya hivyo, ila vyombo vyetu vya ukinzi na usalama vipo vizuri vitawatia mbaroni soon. Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad