Kamanda Mambosasa Athibitisha Kuhojiwa January Makamba

January Makamba Ahojiwa na Polisi Sakata la Mo Dewji Kutekwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema jana Jumapili lilimhoji Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kuhusu suala la mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’

Kamanda Mambosasa amethibitisha hilo na kudai kuwa mara baada ya kumaliza kumuhoji walimwachia na kuondoka.

Makamba ni miongoni mwa watu wa kwanza kuthibitisha kupatikana kwa Mo Dewji na kuandika katika mtandao wake wa twitter.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad