Kanye West na Kim Kardashian watinga nchini Uganda


Wasanii wakubwa nchini Marekani, Kanye West na Big Sean wametua nchini Uganda jana Oktoba 13, 2018 kwa lengo la kukamilisha album ya YANDHI ya Kanye. 

Wakiwa nchini humo, wamefungua  studio ndogo na tayari wameanza kazi ya kurekodi baadhi ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album hiyo mpya ya Kanye West. 

Kwa upande mwingine, Msanii wa muziki nchini humo Bebe Cool amemkaribisha Kanye West na kumuomba Kolabo. 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad