Kanye West na mkewe Kim Kardashian wabatizwa majina mapya na Rais Museveni wa Uganda

Kanye West na mkewe Kim Kardashian wabatizwa majina mapya na Rais Museveni wa Uganda
Rapper Kanye West na mkewe Kim Kardashian wamebatizwa majina mapya na Rais wa Uganda, Mzee Yoweri Museveni.


Kanye na mkewe wakiwa Ikulu nchini Uganda na Rais Museveni
Majina hayo ambayo wamepewa siku ya jana walipotembelea Ikulu ya nchi hiyo, ni kwamba Kanye West ataitwa Kanyesigye huku mke wake Kim akibatizwa jina la Kemigisha.

Kwa maana ya majina hayo ni kwamba Kanyesigye maana yake ni ‘NINA IMANI’ huku Kemigisha likiwa na maana ya ‘MTU ALIYEBARIKIWA NA MWENYEZI MUNGU’ .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad