Kauli ya Kwanza ya Haji Manara Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana "Mitihani ya Kilimwengu Tumeumbiwa Sisi Binaadamu"

Kauli ya Kwanza ya Haji Manara Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana "Mitihani ya Kilimwengu Tumeumbiwa Sisi Binaadamu"
Siku chache baada ya msemaji wa timu ya simba Haji Manara kukamatwa na polisi na kuwekwa ndani inadaiwa jana usiku aliachiwa huru kwa dhamana  na hii ni kauli yake ya kwanza baada ya kuachiwa.

Kupitia akaunti yake ya instagramu ameandika;
Alhamdulillah.... kila jambo huja na sababu yake, na mitihani ya kilimwengu tumeumbiwa sisi binaadamu, naendelea kuwasihi tuviache vyombo vinavyohusika vitimize wajibu wao, kubwa tuendeleze dua na sala kwaajili ya kiongozi wetu InshaAllah..


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad