Khaligraph Ashinda Tuzo ya AFRIMA

Khaligraph Ashinda Tuzo ya AFRIMA
RAPA Mkenya, Khaligraph Jones, ameibuka kidedea na kuipa nchi yake heshima baada ya kupata tuzo ya All Africa Music Awards (AFRIMMA) katika sherehe ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika Jumapili iliyopita huko Dallas.

Msanii huyo aliwashinda marapa wengine wa Afrika akiwemo  Octopizzo na kukwea pipa lililompeleka Marekani kwa mara ya kwanza na kupata tuzo hiyo.






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad