Kisa mdogo wake,rafiki yake Samatta aigomea timu ya Taifa


Mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Leon Bailey' azua utata baada ya kugoma kuichezea timu ya taifa ya Jamaica kwa madai kuwa mdogo wake hajaitwa. 

Bailey ambaye aliwahi kucheza na Samatta wakiwa KRC Genk amechukua uamuzi huo kwa kuwa mdogo wake aitwaye Kyle Butler hajaitwa. 
Imeelezwa, Bailey aliomba mdogo wake huyo aitwe na akakubaliwa. Lakini baada ya majina kutangazwa hakuitwa. 

Mdogo wake huyo anakipiga katika klabu ya Juniors OO ya Austrian na ana umri wa miaka 20.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad