Krish wa Uwoya Kaandika Ujumbe wa Wazi Kumkumbuka Baba yake Ndikumana

Mtoto wa Irene Uwoya, Krish amemkumbuka baba yake mzazi Marehemu Hamad Ndikumana aliyefariki ghafla November 15,2017  ikiwa leo October 5,2018 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa Marehemu Ndikumana na hivyo amemuandikia ujumbe wa kumkumbuka.

Irene Uwoya ametumia ukurasa wake wa instagram kuonyesha barua aliyoiandika mwanae Krish kwa marehemu baba yake na kusema kuwa amemkumbuka sana na hakutaka baba yake afariki na mwisho wa ujumbe huo alimalizia kwa kusema anamtakia kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Baada ya barua hiyo Irene Uwoya aliandika hivi
“Sijui kawaza nini leo daaah kanambia Mama hiyo kwajili ya Baba leo birthday yake MUNGU akuweke Krish wangu 🙏”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad