Kijana Okuneye Idris Olarenwaju wa Nigeria amebadilisha muonekano wake na kuwa mwanamke, akisema ni kwa sababu anafanya biashara ya bidhaa za kike kama vile nguo na urembo.
Watu wamekuwa wakidhania pia ni shoga lakini mwenyewe amedai kuwa ana girlfriend na anajichumbua na kuvaa nguo za kike ili kuingiza kipato kutokana na bidhaa anazouza..