Kwa Hili Alilofanya Diamond Namibia Natabiri Mafuriko Wasafi Festival Bongo...


Ukitazama hii Video hapa chini ndo utajua ukubwa wa Diamond Platnumz, Hapo ni nchini Namibia week iliyopita ambapo aliweza kujaza nyomi la hatari , shangwe hilo sijawahi liona hata kwenye show zetu za Kubwa za Fiesta Hapa Tanzania, Diamond Mwenyewe ametangaza ujio wa Tamasha la Wasafi Festival Hapa Tanzania na Kenya....

Tazama VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad