Lema Kuzungumza na Waandishi wa Habari Kuhusu Kutekwa kwa Mo Dewji

Lema Kuzungumza na Waandishi wa Habari Kuhusu Kutekwa kwa Mo Dewji
Mbunge wa Chadema Arusha Mjini, Godbless Lema, mbaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, amesema, leo atazungumza na waandishi kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji.



Amesema mkutano huo na waandishi utafanyika makao makuu ya Chadema mtaa wa Ufipa, Kinondoni jijini Dar es Salaam.



Katika Twitter  Lema aliiandika jana ikisema, “Nafikiri kwa sasa ninaweza kuongea na waandishi wa habari kuhusu kutekwa kwa mfanyabiashara Mo Dewji.”

Posti ya Godbless Lema kwenye ukurasa wake wa twitter jana ipo hapa chini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad