Lifahamu Kanisa la Walevi Lililoko Kaskazini Mwa Kenya


Ibada za Kanisa hili hufanyika chini ya Mti na Waumini wake huhudhuria wakiwa wamelewa pombe za kienyeji

Kitu kingine cha kushangaza kuhusu Kanisa hili ni kwamba Waumini wanaliita kwa jina la Full Combat Jerrican huku Mhubiri akisema linaitwa Redeemed Gospel.

Kanisa hili lilianzishwa mwaka 2016 likiwa na Waumini 3 kwa lengo la kudhibiti uhalifu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad