Lulu Diva Afunguka Mwanzo Mwisho Kuhusu Tuhuma za Kuwa na Mahusiano na Diamond (Video)


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lulu diva amefunguka mwanzo mwisho kuhusu tuhuma za kuwa na mahusiano na Diamond Platnumz. Msanii huyo wa kike kutoka Tanzania ameongea hayo wakati akipiga stori na Bongo five juu ya tuhuma hizo ambazo inasemekana ndo zilipelekea aliyeukuwa mpenzi wake Rich Mavoko kuondoka katika lebo ya muziki ya WCB.

Lulu diva amekataa tuhuma hizo na kusema ” Sio kweli kwani yeye na Diamond wanaheshimiana sana na kitu kama hicho haikijawahi kutkea na hakitatoa kamwe”

Lulu diva ameachia nyimbo mpya inayokwenda kwa jina la “Alewa” ambayo amemshirikisha muandaaji wa muziki (Producer) S2kizzy, Audio tayari lakini video itatoka muda sio mrefu.

By Ally Juma.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad