Lulu Michael “Majizo Amenipa Upendo Kama Baba, Tumepitia Wakati Mgumu Sana”

Muigizaji Lulu amesema kuwa mpenzi wake Majizo ambaye amemvisha pete ya uchumba hivi karibuni amekuwa kama Baba kwake kwani ni mtu wa kuvaa uhusika tofauti tofauti hadi kumfanya ajisikie upendo wa Baba.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad