Kama alivyowahi kutangza hapo awali kuwa kama msanii elizabeth lulu michael hatoolewa mwaka huu na bos wa EFM bwana Majjizo basi atahakikisha kuwa anamfunga mwanaume huyo kwa kitendo cha kumchezea binti huyo na kwa kuthibitisha msema wake basi maneno yake yalianza kutimia baada ya lulu kuvishwa pete ya uchumba.
hata hivyo kwa mara nyingne tena, mh makonda aliweka picha ya watu maarufu akiwemo mwanahabari na msomi mashuhuki bwana Lemutuz na kusema kuwa atahakikisha kuwa watu hao wote wanaoa kama kama watakaidi agizo lake basi atawafunga.
Makonda Awapigilia Msumari wa Moto Watu Maarufu Wasiotaka Kuoa.
0
October 11, 2018
Tags