Fom @rayvanny - Nashukuru Mungu Leo Nimepata Nafasi Kutembelea Hospitali Ya Muhimbili,Kumuangalia Yule Mama mwenye tatizo la jicho. Kwangu Leo imekua kama darasa na Sehemu Ya kujifunza, kutokana na Hali Ya ndugu zetu pale Hospitali.Nilienda Kwa Ajili Ya Yule Mama lakini nikajikuta naenda Kwa Wodi Nzima.... KIDOGO NILICHOKUA NACHO NIKASAIDIA WODI NZIMA.... Maana Ya Mimi kupost Sio kujikweza Ila nikukumbushana Kwa Kidogo Tunachokua nacho Tusiache kusaidia ndugu zetu wenye Magonjwa,Matatizo mbalimbali na Wasiojiweza.... MUNGU AWABARIKI 🙏🙏
Maskini Rayvanny Asikitishwa na Hali Aliyoikuta Muhimbili...Asaidia Wodi Nzima
0
October 31, 2018

Tags