Matokeo ligi kuu bara haya hapa


Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa nane umeendelea leo Octoba 2 ambapo michezo miwili imemalizika jioni hii iliyowakutanisha Kagera Suger na KMC huku Alliance ikipambana na Ndanda imemalizika bila kupatikana mbabe baada ya dakika zote 90 kumalizika. 

Kagera Suger ambayo ilikuwa nyumbani na kuwakalibisha KMC kutoka jijini Dar es salaam walijikuta wakiambulia alama moja baada ya mchezo kuisha ubao ukisomeka 0-0. 

Mchezo mwingine uliopigwa jijini Mwanza baina ya Alliance waliowakaribisha Wanakuchele kutoka Mkoani Mtwara (Ndanda) nao ulimalizika kwa kutokufungana 0-0. 

Aidha mchezo mwingine unaendelea usiku huu baina ya Azam na Tanzania Prison
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad