Mayweather Atambulisha Jumba Lake Jipya la Kifahari Balaa Tupu

Mayweather Atambulisha Jumba Lake Jipya la Kifahari Balaa Tupu
Floyd Mayweather Jr anaendelea kuonyesha kuwa kwanini anatumia jina la TMT (The Money Team) baada ya kuutambulisha mjengo wake mpya wenye kila kitu kinachohitajika katika nyumba ya kisasa na ya kifahari.



Kupitia ukurusa wake wa Instgram Mayweather amepost video fupi zinzoionyesha nyumba hiyo ya kifahari ambayo iko mithili ya nyumba za kifalme ambazo wanazitumia hasa Wafalme, katika video hizo fupi Mayweather aliandika “My new home, I’m truly blessed,”



Nyumba hiyo ya Mayweather iliyopo California yenye vyumba ya kulalia sita, vyumba vya bafu tisa, ukumbi wa michezo na nyumba ya wageni vyote vikiwa na ukubwa katika mraba mita 15,096.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad