Mbasha Ajitosa Sakata la Tz Sweetheart "Jina Hili Linamfaa Wema Sepetu''

Mbasha Ajitosa Sakata la Tz Sweetheart "Jina Hili Linamfaa Wema''
MSANII wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu ishu inayoendelea sasa hivi mitandoni kuwa nani ni Tanzania Sweetheart (Kipenzi cha Watanzania) kati ya mrembo Wema Sepetu na mwanamitindo Hamisa Mobeto.

Akizungumza na Ijumaa, Mbasha alisema kuwa kwa upande wake, Tanzania Sweetheart kati ya warembo hao wawili, ni Wema kwani ndiye anayestahili.“Hilo jina linamfaa aliyekuwa nalo tangu zamani (Wema), kwani ndiye aliyepewa hilo jina, kwa hivyo acha tu aendelee nalo kwa sababu ndio linampendezea,” alisema Mbasha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad