Mbunge Bwege Atiwa Mbaroni

Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), Seleman Bungara 'Bwege' anashikiliwa na polisi akidaiwa kutaka kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai , Bwege alikamatwa jana saa 10 jioni eneo la Maalim Seif  lililopo Kilwa Kivinje.

Ngubiagi amesema mbali na Bwege wengine wanaoshikiliwa na polisi ni madiwani wanne akiwemo diwani wa Kilwa Masoko na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad