Mbwana Samatta Kuiongoza Stars Kuichapa Cape Verde Usiku Huu...Kikosi Chatajwa


Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo kitaingia dimbani kumenyana na wenyeji wao Cape Verde katika mchezo wa kundi L kutafuta nafasi ya kushiriki michuano ya Mataifa Afrika mwakani.

Kikosi cha Stars ambacho kinanolewa na Kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kimetamba kuibuka na ushindi katika mchezo huo utakaorushwa kupitia Chaneli ya ZBC 2 majira ya saa mbili za usiku.

Hiki ndicho kikosi ambacho kitaanza katika mchezo huo.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad