Mch. Peter Msigwa apigwa ‘STOP’ kufanya mikutano jimboni kwake, jeshi la polisi latoa sababu

Mbunge wa Iringa Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amepigwa marufuku na Jeshi la Polisi Wilaya ya Iringa ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwenye kata zote za jimbo lake.


Kwa mujibu wa barua hiyo kutoka kwa Jeshi la Polisi, imeeleza kuwa Mchungaji Msigwa amekuwa akitoa maneno ya kashfa na uchochezi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad