Mchuano Mkali wa Card B na Nick Minaj Waendelea...

Wakati kwa sasa wakiendelea kuwa Chui na Paka kwenye maisha yao na kila mtu kupambana kumzidi mwenzake kwenye game hip hop.

#NickMinaj amefikisha kiwango cha Platinum kwa marekani kutokana na mauzo ya album yake ya #QUEEN baada ya kuuza nakala milion 1.

Huku
#CardiB
akiweka rekodi ya kuwa rapper wa kwanza wa kike kukaa number moja wiki 8 kwenye chati za Billboard Hot 100.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad