KATIKA hali ya kushangaza Mlinzi wa Baa ya Muigizaji, Irene Uwoya, amejikuta akipokea kichapo kikali kutoka kwa raia wenye hasira kali baada ya kudaiwa kufanya utapeli kwa mfanyabiashara mmoja wa huduma za MPesa, maeneo ya karibu kabisa na ilipo baa hiyo.
Global TV imefika eneo la tukio na kushuhudia A-Z tukio hilo na kufanikiwa pia kuongea na Mtuhumiwa huyo, ambapo baadaye Raia walimpigia simu Uwoya na akafika eneo la tukio pia
VIDEO: