Msanii Maua Sama Aonyesha Jeuri Dhidi ya WCB ya Diamond..


Msanii wa Bongoflava @mauasama Aendelea kufanya vizuri sana na Wimbo wake mpyaa #IOKOTE ..katika List ya BoomPlayer , @mauasama Anakamata Number #1 huku akifuatiwa na Wasanii wa WCB WASAFI kwambali akikaribiana na Nandy.

List nzima ya Top 20 wiki hii Boom Player Hii Hapa chini:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad