Msichana Sandra Johnson, ambaye ni raia wa Marekani amemshtaki mama yake mzazi Alma Johnson kwa kuwa mweusi kuliko yeye, na kwamba hana hadhi ya kuwa mama yake kwa sababu yeye ana elimu na mama yake hana, marafiki zake wote weupe na pia ana mchumba mweupe tajiri. Hivyo hataki kuwa na mama kama huyo.
Comment kisha share na wana