Mtoto wa Marehemu Agness Masogange Atusua Mtihani wa Darasa la Saba


Mtoto wa marehemu Agness MASOGANGE na Bw Sabri Shaabani . Sania Sabri Shaabani amefaulu mtihani kwa wastani wa Daraja B katika matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba yaliyotangazwa Jana

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad