"Huyu Musiba Anaweza Kuwa Hatari sana kwa Usalama wa Taifa" Nape Nhauye


“Huyu Musiba anaweza kuwa hatari sana kwa usalama wa taifa hili ingawa watu wanamchukulia kama mtu aliyechanganyikiwa au anayejipendekeza, ni aibu sana mtu anazusha mambo mazito halafu anaachwa huru wakati wengine wamekamatwa kwa sheria ya mtandao kwa kuandika” Mbunge wa Mtama - Nape Nnauye #KwanzaHabari
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo ni kama Bashite. ilimradi Magu anampenda hatoguswa!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad