Mwanafunzi Aliyeshika Namba Moja Tanzania Matokeo Darasa la 7 Apokelewa Kwa Shangwe Chato


#PICHA Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2018 Ndemezo Lutakwa (mwenye suti aliyebebwa) alivyopokelewa katika shule aliyokuwa akisoma ya Kadama English medium iliyopo kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita.

Comment neno la **HONGERA kumpongeza
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad