Mwanajeshi tapeli alivyoingia kwenye mikono ya RPC Muroto

Mwanajeshi tapeli alivyoingia kwenye mikono ya RPC Muroto
 Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limeendelea na Operation hekaheka vunja vijiwe ambapo Kamanda wa Polisi mkoa huo Gilles Muroto amewaeleza Waandshi wa habari baadhi ya matukio waliyokutana nayo ikiwemo kumshikilia kijana anayedaiwa kutoroka na na mavazi ya JKT na kuwatapeli watu mitaani kwa kudai kuwa atawasaidia kupata ajira.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad