Mwanamuziki nguli wa Kenya, Benga Joseph Kamaru afariki dunia

Mwanamuziki nguli wa Kenya, Benga Joseph Kamaru afariki dunia
Mwanamuziki nguli raia wa Kenya, Benga Joseph Kamaru amefariki dunia hapo jana siku ya Jumatano katika hospitali ya MP Shah (MP Shah hospital) alipokuwa akipatiwa matibabu.



Mzee Kamaru amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 huku akikumbukwa zaidi miaka ya 1980 kwa vibao vyake vingi mashuhuri vikiwemo ‘Tiga Kuhenia Igoti’ (Usihadae mahakama), na ‘Muhiki wa Mikosi’ alivyokuw akiimba kwa lugha ya Kikuyu.



Rais Uhuru Kenyatta na viongozi mbalimbali wa Kenya wameonyesha kuguswa na kifo chake na kuposti ujumbe mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad