Mwanamuziki Selena Gomez Apatwa na Msongo wa Mawazo Kisa Justin Bierber Kaoa


Mwanamuziki Selena Gomez amepelekwa hospitali kitengo cha afya ya kili, kupata matibabu kufuatia msongo wa mawazo aliokuwa nao. Hii ni wiki chache baada ya aliyekuwa mpenzi wake Justin Bieber kufunga ndoa na mpenzi wake mpya.

Je, ukisikia ex wako ameoa/ameolewa, unaweza ukachanganyikiwa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad