Mwarabu Fighter afunguka kuhusu Kumlinda Irene Uwoya


Aliyekuwa mlinzi wa msanii Diamond Platnumz, Mwanarabu Fighter ameeleza kwanini kwa sasa anafanya kazi na Irene Uwoya.

Akizungumza na Wasafi TV, Mwarabu Fighter ameeleza kuwa mrembo huyo ndiye aliyetaka huduma ya ulinzi kutoka kwake.

"Irene kwa mara ya kwanza aliponihitaji akaja ofisini kwangu lakini sipo naye kila anapokwenda. Mimi namuheshimu tu kama boss anayeniletea riziki, kwa hiyo siwezi kumchunguza mambo yake mengine," amesema Mwarabu.

Mwanarabu Fighter ana kampuni yake pia  ambayo inatoa huduma ya ulinzi.

==>>Msikilize hapo chini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad