Mwili wa Issac Gamba Kuwasili leo

Mwili wa Issac Gamba Kuwasili leo
Mwili wa aliyekuwa Mtangazaji wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili ya DW ya Ujerumani, Isaac Gamba unatarajia kuwasili leo hapa nchini kwaajili ya kuendelea na taratibu za mazishi.

amefariki dunia akiwa nchini humo.

Taarifa za awali za kifo cha mtangazaji huyo Mtanzania zinadai amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake siku ya Alhamisi huko nyumbani kwake ujerumani.

Akiwa nchini, Gamba amewahi kufanya kazi vyombo mbalimbali vya habari ikiwamo Redio Uhuru, RFA, ITV na kabla ya kwenda Ujerumani alikuwa Radio One.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad