From @soudybrown - Nimeona Post Hii Ya Naj, Nikajikuta Naongea Kwa Sauti “Bora”
Kwasababu Muda mrefu Ma Shilawadu Walikua wanajiuliza Swali: Baraka Ana Nini? Na Wataalamu wa Habari za Kimbea Wanatoa Jibu Leo, Baraka alikua ameachana na Naj ðŸ˜ðŸ˜
Baraka Alikua ana Stress Baraka Alikua anaongea Mwenyewe, Baraka anakesha studio hana Cha Jumapili, Baraka Amebaki Fuvu, Baraka yule yule aliekua anakitambi kama Cha Matonya, Baraka alikua na Mashavu kama Da Keisha Baraka alishaanza kuwa mweupe kama Naj
Baraka sasa hivi amekua Skeleton Kama Msanii AT, Ukimuuliza vp Mzee Baba? Atakujibu Gym Gym hehe
Nasemaje... Bora wamerudiana jamani Walau Baraka Urudi Kwenye Form, Unenepe Na Round hii Umzidi Mama Khadija Kopa, Naomba Utambe round hii kiswahili kipotezee kama Nyoshi elSadat
Sasa hivi Six Pack Tutaziona
M’barikiwe ktk Penzi lenu, ila muwape Kina Dogo janja na Uwoya mbinu za kuvumiliana na kurudiana
Mwenye Page Asilaumiwe, Hii Imeandikwa na #BintiMsakuzi wa @shilawadu - #regrann