Nay Wa Mitego Aitikia Wito Ameripoti BASATA Leo

Muimbaji wa Hip Hop kutokea Free Nation Nay Wa Mitego ameonekana kuripoti BASATA mapema leo October 23,2018 na kuripotiwa kuwa hii ni mara ya tatu kwa Nay Wa Mitego kuitwa BASATA kwa mwaka huu.

Inaelezwa kuwa sababu iliyomfanya Nay wa Mitego kuitwa BASATA ni kuhusiana na ngoma yake ya ‘Alisema’ aliyoiachia rasmi October 6 mwaka huu hii ni kutokana na mashairi yaliyopo ndani ya ngoma hiyo.

Lakini hadi sasa haijaelezwa sababu ya msingi iliyomfanya Nay wa Mitego kuitwa BASATA na pia kwa upande wa Nay Wa Mitego hajasema lolote hadi sasa kuhusiana na kuitwa kwake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad