"Ni Ujinga Kugombania Jina Mi Siwezi, Mi Ninagombania Hela" Shiloleh

Ni Ujinga Kugombania Jina Mi Siwezi, Mi Ninagombania Hela.;-Shiloleh
Mwanadada Shilole amefunguka na kusema kuwa kwa upande wake anaona hakuna maana sana ya kukaa na kugombania jina ambalo unaweza kutafuta la kwako na kulitengeneza na likawa kubwa .

Shiloleh anasema kuwa kwa wema sepetu kuitwa Tanzania sweethaert ni jina lake alilopewa na watu hivyo ni lazima watu wengine wakae wakiliheshimu jina hilo lakini pia hakuna haja ya kugombana kwa sababu ya hilo.

Shiloleh anasema kuwa kwa upande mwingie anawao watu hao ni wajinga kwa kugombania jina  badala ya kugombania ela kwa sababu kwa upande wake yeye anawaza ela na sio jina.

hayo ni maneno tu yanayokuwa yanaongelewa kama mimi ninavyosemaga shishi trumph lakini trump mwenyewe yuko huko, mwenye jina atabaki kuwa mwenye jina tu kwa

sababu tayari watu walishampa, kwanza mimi nitaona ujinga kama wanabaki kugombania majina.mimi nagombania ela i dont need to kugombania jina, why cant you choose another name.

Wema na hamisa wamekuwa wakirumbana katika mitandao kwa sababu ya jina la Tanzania Sweetheart.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad