HomeUdaku SpeshoNick Minaj Ashtakiwa kwa Kosa Hili Nick Minaj Ashtakiwa kwa Kosa Hili 0 Udaku Special October 24, 2018 RAPA Mmarekani, Nicki Minaj, amefunguliwa mashitaka na mwimbaji Tracy Chapman kwa kutumia sehemu ya moja ya wimbo wake bila kibali. Minaji anashitakiwa kwa kutumia maneno na sauti ya wimbo wa Chapman wa mwaka 1988 uitwao ‘Baby Can I Hold You’ alivyoweka katika wimbo wa ‘Sorry’. Tags Udaku Spesho Newer Older