Nick Minaj Ashtakiwa kwa Kosa Hili

Nick Minaj Ashtakiwa kwa Kosa HiliRAPA Mmarekani, Nicki Minaj, amefunguliwa mashitaka na mwimbaji Tracy Chapman kwa kutumia  sehemu ya moja ya wimbo wake bila kibali.



Minaji anashitakiwa kwa kutumia maneno na sauti ya wimbo wa  Chapman wa mwaka 1988 uitwao ‘Baby Can I Hold You’ alivyoweka katika wimbo  wa ‘Sorry’.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad