Mchekeshaji Stan Bakora amesema kuwa aliwai kutoka kimapenzi na mrembo Tunda kipindi ambacho wote wawili walikuwa hawajulikani, Stan ameeleza uhusiano wao ulidumu wakati wanaishi Morogoro na walipokuja Dar es Salaam hawakuendelea tena.
Stan Bakora amesema hayo wakati alipoulizwa kuhusu mwanamke anayeweza kufanga naye ndoa ndipo akajibu kwa kusema labda Tunda kwani ndo mwanamke anaye muona wataendana kwenye ndoa kwakuwa waliwai kuwa wapenzi hivyo wanajuana vizuri, hata hivyo ameongezea kwa kusema aliwai kuumia kuona Casto kamchora Tunda Tattoo.
''Nimesikia ameachana na Casto kama kweli basi kwangu anaweza kuja na ategemee ndoa ya kanisani na hakuna kitu kilichoniuma kama Casto alipomchora Tatoo''
Niliumia Sana Casto Alipochora Tatoo ya Tunda Nampenda Bado Arudi Kwangu Tufunge Ndoa- Stan Bakora
0
October 02, 2018
Tags