‘Nimefunga jalada la upuuzi, yanayokuja kutokana na hili siyajui’- WEMA


‘Nimefunga jalada la upuuzi, yanayokuja kutokana na hili siyajui’- WEMA
Wema Sepetu amesema kuwa kuanzia sasa anafunga jalada la maisha yake ya utoto na kuomba radhi kwa watanzania kutokana na kusambaa kwa picha zake zisizokuwa na maadili mitandaoni.

“Naomba radhi ndugu zangu, jamaa na marafiki na wote waliokuwa wakinisapoti kwa moyo mmoja, na mama yangu mzazi ambaye alikuwa anaumia zaidi, hakuna marefu yasiyo na ncha, nimefunga jalada la utoto, nimefunga jalada la ujinga, naomba radhi kwa haya yaliyotokea” Wema Sepetu.

“Nitakuwa binadamu wa ajabu sana iwapo nitasema sijaguswa, nimejikuta kwa mara ya kwanza nimejali, tangu jana mpaka sasa siko sawa“ Wema Sepetu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad