Official Linny: Nipo Tayari Kuolewa na Diamond, Hata Mpenzi Wangu Anajua

Official Linny: Nipo tayari kuolewa na Diamond, hata mpenzi wangu anajua
Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na hata mpenzi wake  anajua hilo.

Akizungumza na Waandishi kwenye red carpet ya Biko Jibebe Challenge, Linny amesema kitokea nafasi hiyo atakuwa tayari.

"Yeah! kwa sababu ni mwanaume, siwezi kusema hapana," amesejibu Lynn.

Utakumbuka kuwa Lynn alipata umaarufu mkubwa pindi alipotokea kwenye video ya msanii Rayvanny inayokwenda kwa jina la Kwetu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad