Prof. Tibaijuka ‘Amchongea’ Hakimu kwa Waziri Mkuu, Wananchi “Anahukumu kwa Dhuluma”

Baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kufika jimboni kwa Prof, Anna Tibaijuka, Mbunge huyo ameweka wazi mambo yanayowakabili likiwemo suala la Hakimu kuwafunga watu isivyohalali.

Tibajuka “Wazir Mkuu hapa tuna Hakimu anasumbua ana hukumu kwa dhuluma, aliwafunga Mwalimu Mkuu wa Shule, Mwenyekiti kwa kuetetea ardhi ya shule, Mimi nilihangaika kuwatoa Mwalimu na Mkewe”

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad