Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam, Paul Makonda amesema amempa ridhaa ya kutokuoa msanii Diamond na kumtaka aendelee kuwa ‘sukari ya mioyo ya watu’ sambamba na kuweka video za kukata mauno mtandaoni kutokana na alichokifanya kwa wakazi wa Tandale.
Makonda ambaye ni mlezi wa Kampuni ya WCB inayomilikiwa na Diamond amesema kwa kazi anayofanya huenda akioa mapema itamletea shida na kwamba anahitaji muda zaidi wa kufikiria kuwasaidia Watanzania wenzake.
“Haya mambo mkiyajua vizuri bana kwanza ukiwa msanii halafu mashabiki wako wengi wakiwa wanawake ukioa wanaweza kukimbia, utafikiri ungewaoa wote,” Amesema
Makonda amewataka wasanii wote kuiga mfano wa Diamond wa kurudi na kusaidia jamii iliyowalea.
“Kwa alichokifanya Diamond hata nikiona video yake anakata mauno wala simfanyi, kitu Ila msanii hujafanya chochote halafu unasherehekea siku yako kwa kujirekodi video unakata mauno nakuweka ndani,” amesema.
NO KOMENTI.....
ReplyDeleteMAKONDA..!!!
WEWE NI WA KUMPA MWNGOZO HUYU KIJANA..NA SI VINGINEVYO.
DAIMONDI MUOGOPE ALLAH NA USHIKE KAAMBA YAKE MUDA NA WAKATI WOTE.
MAMA YAKO KAKUKUUZA KWA TABU NA ANA HAKI YA KUKUONA UMEONGOKA NA KWA MZEE WAKO PIA MFANYIE IHSAANI KAMA ULIVYO AMRISHWA.. YY HESABU YAKE KWA ALLAH ALIVYO KUTELEKEZA WAKATI MNAMUHITAJI.
MUNGU AKULINDE NA MARADHI MABAYA NA AKUJAALI MKE MWEMA NA KIZAZI CHEMA.. ANZA HUU MCHAKATO HIVI SASA UJANA USIKUDANGANYE NA MARAFIKI...MFANO NI MZEE WAKO.. WOTE WATAKUJA KUKUKIMBIA SI SALAM WALA TALE NA WOTE WANAOKUZUNGUKA KWA SASA AJILI UNACHO... KUA UTAONA MENGI MWANANGU..
Dunia Hadaa...!!!
ReplyDeleteUlimwengu.....Sh_____.
Siku zote tahadhari na hasidi yako.
Heshima yako unayo mwenyewe.
Zuri na baya unalijua mwenyeewe.
Mungu amekupa akili na Fahamu.