Sabby Angel Afunga Ndoa Yake Ya 5..Wadau Wamshangaa


Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Bongo Movie Sabrina Omary maarufu kama Sabby Angel amefanikiwa kufunga Tena pingu za maisha hivi karibuni huku hii Ikiwa ndoa yake ya tano kuolewa.

Global Publishers wanaripoti kuwa Sabby mwenye umri chini ya miaka 30, anadaiwa kupigwa ndoa ya 5 kwa siri kubwa ili mwanaume aliyemuoa asijue kama alishaolewa zaidi ya mara moja.

Mtu wa karibu wa Sabby ambaye alitoa Habari za  Ndoa hiyo ambayo iliyofanyika jijini Nairobi nchini Kenya hivi karibuni na ilikuwa ya watu wachache mno na ndugu wa Sabby walikuwa ni wawili tu.

Mimi nilijikuta nipo kwenye harusi hiyo kwa kuwa kuna rafiki wa huyo mwanaume aliyemuoa ambaye ni mtu wangu. “Nilishangaa mno maana ninajua huko nyuma Sabby alishaolewa mara nne”.

Baada ya tetesi hizo gazeti la Ijumaa Wikienda ili mwaka Sabby Angel ambaye yupo Nchini Kenya ambapo amedai haoni tatizo Kuolewa ndoa ya tano kwani ana jioni kama mwanamke mwenye Bahati na taarifa za kwamba yeye anamficha mume wake kuhusu ndoa yake sio za kweli kabisa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad